B BWANA MISOSI Member Joined Feb 11, 2020 Posts 39 Reaction score 24 Sep 28, 2020 #1 Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
Naombeni wale wenye uzoefu wanisaidie kwa watu 300. je kila mtu anaweza kunywa bia ngapi? soda ngapi? juice ngapi zinatosha? maji mangapi? champain ngapi? n.k. nikipata kujua kuhusu vinywaji ingependeza zaidi. naomba mnisaidie.
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 Sep 28, 2020 #2 5 kila mmoja.Si wamechangia
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,109 Reaction score 8,080 Sep 28, 2020 #3 Yote haya ni kuhalalisha binti kuliwa na wazazi wake watakuwa wanajua sasa binti yetu analiwa na fulani... Anyway Bia 3, maji madogo 3 Kwa watu wasiotumia bia una replace juice 3 na soda 3.
Yote haya ni kuhalalisha binti kuliwa na wazazi wake watakuwa wanajua sasa binti yetu analiwa na fulani... Anyway Bia 3, maji madogo 3 Kwa watu wasiotumia bia una replace juice 3 na soda 3.
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,343 Reaction score 7,516 Sep 28, 2020 #4 300 × 3000 × 5= 4,500,000 Hapo vinywaji umemaliza