naomba ramani ya nyumba!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu naomba kama kuna mtu anaweza nipatia ramani za nyumba au Bure nichague! au nipe hata web site niwekee! NNajua kuna watu watansema vibaya mshindwe!
 
Kwa kuwa umeomba nitakupa..... nitafute unipe your reqs
 
Duuuh ,huo uchaguzi wa siku mbili Dom,umeweza kumake hela za nyumba?au ndio zile za EL,mmevuta halafu mkamtosa!
 
mimi kiwanja changu ni sqm 610 je naweza kujenga nyumba humo?
 
mimi kiwanja changu ni sqm 610 je naweza kujenga nyumba humo?

Unajenga nyumba ya kujimwaga kabisa bila shida mkuu tena na bustani ya mboga juu. Maana nyumba yako inaweza kuwa sqm 270 hivi ya vyumba 3 sebule na jiko.
 
Asanteni wakuu,kwa kua mdau ameanzisha huu uzi,naomba na mie niweke ombi langu,ni sehemu gani ninaweza kupata kitchen plan nzuri na mafundi wa kutengeneza hayo makabati na kuya fitisha.
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…