wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Tarehe 26/3/1992 marehemu babu yangu alimuuzia *M* sehemu ya ardhi HEKARI 6 katika eneo lake la shamba lake.
*M* alipima eneo alilouziwa na kuweza kumiliki kisheria mnamo mwaka 1996 na kupata TITLE DEED Yenye ukubwa wa hekari 4.6 ( kati yahekari 6 alizonunua kuna sehemu ina jaa maji) akajenga house estate Ndani ya hekari 4.6 zake
Marehemu akaendelea kuuzia na watu wengine *H* *K* *G* na wengineo takribani jumla watu 15 na akajibakishia *HEKARI 16* Nao pia takribani watu 10 walipima na kuweza kumiliki kisheria na kuweza kupata hati TITLE DEED. Wakajenga nyumba zao na ambao hawakupima pia wakajenga nyumba na kuishi maisha yakaendelea.
Mwaka 2003, ndugu *M* Akashitakiwa na mtu ambaye *X* si kati ya watu waliouziwa na marehemu babu wala hajawahi kumiliki hata kipande katika eneo hilo.
Kesi hii ilikuwa ni no8/2003 katika baraza la ardhi Temeke.
Madai ya mtu huyo
Ni kuvamiwa eneo lake (tresspass) na ndugu *M* eneo lenye ukubwa wa HEKARI 52. *note* (eneo lote alilouza babu+alilojibakizia hekari 16 haziwezi fika hekari 52)
*X* eneo hilo la hekari 52 alionyesha mkataba kuwa aliuziwa na marehemu babu mwaka2000 kama kielelezo (vyote nimevikuta kwenye proceeding)
*Note* kwenye kesi hiyo mpaka inamalizika si *X* wala *M* hakuna aliyewahi muita babu mahakamani kama shahidi ama mtuhumiwa nambari 1.
Mpaka kesi inamalizika kwa kutolewa Judgment na ndugu *M* kupewa ushindi dhidi ya ndugu *X* mara nyingi *X* hakuwa anahudhuria mahakamani (procceeding ninayo)
*NOTE* wakati shauri hilo no8/2003 linaendelea
1. *M* alijetea kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa *HEKARI 62* na si 52 zinazolalamikiwa.
2. *K* *G* *H* Na watu wengine wote waliopo ndani ya eneo hilo hawakuwahi kuhusishwa kwa namna yeyote na kesi hiyo wala kuitwa na mahakama.
3.Mahakama hajawahi fanya site visit katika eneo hilo.
4. *M* hana na hajawahi wasilisha mahakamani kielelezo cha yeye anamiliki vipi hekari 62 katika eneo hilo wakati ana mkataba wa manunuzi wa hekari 6 na ambazo amepima eneo kavu na. Kupata TITLE DEED ya hekari 4.6.
Hukumu ilitoka na kumtambua bwana *M*
Kuwa ndiye mmiliki halali wa hekari 62 katika eneo hilo
*note* bwana *M* aliuziwa hekari 6 tu na marehemu babu.
Bwana *M* tamaa zikamwingia rasmi baada ya hukumu hiyo ya kesi iliyokuwa baina. Yake na huyo bwana *X* hivyo akaona nj fursa sasa ya kuifanyia kazi hukumu.
1. akaandika vibao na kuvibandika ndani ya eneo la hekari 16 alizobakisha babu *Eneo hili haliuzwi epuka matapeli pamoja na nambari yake ya simu*
2.akaingia mkataba na mapuni ya upimaji na uuzaji wa viwanja
Kwa ajili ya kulipima eneo hilo ili kuviuza viwanja.
3. Mwaka 2017 Akafungua shauri no 272 katika mahakama kuu na kuwashitaki *H* K G na wengineo jumla watu 7 akiiomba mahakama kuu imsaidie kufanya utekelezaji kuwaondoa katika eneo lake
*note* anatambua watu hao waliuziwa na babu kama alivyouziwa yeye isipokuwa alijitoa akili tu kwakuwa hukumu inatamka yeye ndiye mmiliki wa hekari 62.
Wakati shauri hilo 272/2017 Highcourt Land
Likiendelea yeye akaomba kibari Manispaa na kuendelea na upimaji wa eneo letu hekari 16 na mpaka hatua ya kuweza kuweka mawe *( BICON)*
Ndipo kuna siku nikiwa katika eneo letu la hekari 16 nikiwa nafanya usafi likaja gari likiwa na watu 2 mmoja mmiliki wa kampuni ya upimaji na uuzaji viwanja na mteja aliyekuja kwa ajili ya konyeshwa na kununu. Ndio siku niliyojua juu ya mkataba wa ndugu M na kampuni hiyo.
Ndipo nilipoandika barua manispaa kuwataarifu juu ya eneo letu na kesu iliyopo mahakamani na juu ya kibari walichotoa kwa ndugu *M* *niliambatanisha na Rulling ya kesi no272/2017* ilikuwa imeshatoka mahakama kuu iliyatupilia mbali maombi yake na kumtaka kuwafungulia kesi watu hao 7 kama anaona wamevamia eneo lake kwani kesi ya msingi no8/2003 baraza la ardhi alikuwa ni *M* vs *X* ambapo kwenye kesi no 272/2017 hata ndugu *X* hakuwa Respondent wala hakuna sehemu aliyomtaja zaidi ya kuattach Judment tu.
Ama kurudi baraza la ardhi kuiomba kusimamia utekelezaji wake wa kesi ya 2013.
Ndugu M alirudi baraza la ardhi na kupewa invection order ya kumtoa ndugu *X* katika eneo la hekari 62.
NOTE ndugu X hana na hajawahi kuwa na eneo hata kipande cha robo heka katika eneo hilo
HII IMENIFANYA KUONA NDUGU *M* ALIMTENGENEZA NDUGU *X* ILI KUWEZA KUJIPA UHALALI NA ILIKUWA NI MBINU YA KUDHULUMU MAENEO YA WATU.
Manispaa ikijibu barua ya ngu kwa kufuta kibari cha upimaji na kuiamuru kampuni iliyopima kungoa bicon ilizoweka na na upimaji huo ukafutwa rasimini.
Ndugu *M* alifika na *invatioction order* na kuzibandika katika majumba ya watu wote lakini order Inayomtaka ndugu *X* kuondoka na kuvunja kwa hiari
*note*
Order ilibandikwa kwenye nyumba za watu waliohusika wala hawakuuziwa na *X* na wala hazikuwa nyumba za *X*.
Ikawa ni taharuki na kero mtaa mzima ndipo wananchi walipoamua kwenda kwa mkuu wa wilaya kutoa malalamiko juu ya ndugu *M* hivyo mkuu wawilaya akaitisha kikao kutaka kujua tatizo kwa pande zote mbili, akatusikiliza na kuamua turudi mahakamani kama tunaona hayo mambo hatuyaelewi na kutoyajua maana order inamtaka kuondoka ndugu *X* ambaye nyumba si zake wala hatumfahamu.
Tukarudi kwa wanasheria wakatutaka tufungue *OBJECTION PROCCEEDING*
Mimi kama msimamizi wa mirath nilifungua maombi no 389/2018 na wengine nao walifungua kwa makundi
Wakati kesi zinatajwa tu bila kusikilizwa ndugu *M* akafungua maombi mapya no 411 baraza la ardhi hilohilo chini ya mwenyekiti huyohuyo ambaye kesi zetu anazitaja tu
Akaisikiliza *kesi no411* na kumpa ushindi ndugu *M* kuja kututoa watu wote kwa kutuvunjia nyumba zetu
*note* kulikuwa kun OBJECTION PROCEDING zaidi ya 4 lakini hata moja haikusikilizwa.
Nikaamua kukata rufaa mahakama kuu *appeal Land Revission highcourt no 1/2019*
Mpaka nakata rufaa na kumfail ndugu *M* ndani ya siku 30 za kukata rufaa nyumba zilikuwa hazijavunjwa nilikata rufaa ndani ya muda lakini ndugu *M* muda wa siku 30 ulipotimia alivunja nyumba zisizipungua 40 za wanachi wote. Mkononi akiwa ameshapokea Maombi yatu na samasi ameshaisaini akidai hakukuwa na *stop order*
Kesi hiyo ya Revision Appeall Land devison 1/2019 itatolewa judgment tarehe 27/5/2020
Imeghairishwa zaidi ya mara3 kusomwa judgment. Ninaimani itatolewa maamuzi siku hiyo.
Imepitia kwa judges 3 mpaka sasa
1.Judge Leila Mgonja (hamishiwa highcourt muembeni)
2.Judge N
Malaba (likizo ya kustaafu)
3.Judge Manyanda ( ndio anaendelea nayo)
Ndugu *M* aliwahi andika barua kwa msajili kutokuwa na imani na Judge Leila baada ya kumhoji ilikuwaje alivunja nyumba wakati kuna rufaa na samasi alishapokea.
*LAST ORDER*
STATUS OF QUO