Elections 2010 Naomba Ruksa Nibadilishe Avatar

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Jana nilikuwa katika shinikizo kuu baada ya kusikia kuwa kunataka kufanyika usanii katika majimbo ya Arusha Mjini na Nyamagana, na hasa niliposikia mafisadi JK na EL wapo kwenye majimbo husika.

Nilipatwa na hasira kiasi cha kutamani kufa.Kwa kuanza niliamua kubadili avatar yangu kwa kuweka picha ya mtu aliyejinyonga.

Lakini baada ya matokeo rasmi kutangazwa kuwa SAUTI YA UMMA imesikika, now I am thinking of changing my avatar.

Naombeni picha nzuri basi wadau.
 
Badili mkuu, menitisha maana tunakuhitaji sana hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…