Nimekuwa nikitembelea baraza la elimu(MOE) na kukutana na matangazo ya scholarships halafu mwishoni wanasema tangazo hili pia linapatikana United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training lakini nikiingia silioni,nikiponyeza palipoandikwa scholarships naambiwa "you are not authorised to view this page".Naomba msaada wadau.