Naomba serikal yetu iwe makini sana kwa hili la mwendo kasi, tusiige kichwa kichwa

Naomba serikal yetu iwe makini sana kwa hili la mwendo kasi, tusiige kichwa kichwa

Nenda India uone wanavyojazana kwenye train hadi juu ya bodi la train. Tatizo la wabongo ni ushamba kulopoka vitu asivyovijua!
 
Mimi nilifikiri labda ni miundo mbinu haikidhi haja. Kumbe ni hili suala la usimamizi. Ukiongeza mabasi, na muda wa basi moja na jingine kuingia stendi ukapungua. Ndani ya juma moja hutaona msongamano wa aina hiyo. hapo ni logistics and arrangement issues.
 
Kule Dar ni kero tu, mradi wenyewe mzuri kwa mapicha ya kupiga ukiwa nje, lakini video kama hizi zinaonyesha taswira tofauti sana ya jinsi wasafiri wenyewe wanavyotaabika...

Mbona mshaiga?
 
Hakuna Usafiri mzuri kwa sasa kama huo Dar
Tatizo lipo kwa wasimamizi tu
Naimani Hiyo nichangamoto itakwisha
Nilisikia yanaongezwa mabasi mengi Zaidi
Japo kwa Mkenya kuiponda Tanzania hilo sioni Ajabu hata kidogo
NI WIVU TU
 
Back
Top Bottom