Hivi hawa omba omba wana haki ya kuwa mjini/Mijini? Je tusipowapa hivyo vijisenti watarudi makwao? Tena kunawengine wanakera sana sana unakuta mama amekaaa pembeni ya barabara anatuma watoto wadogooo! waombe pesa.
Je Kuwanyima hawa ni Dhambi?[/QUOTE]
KUTOA NI MOYO LAKINI KUMBUKA ZAKA NA SADAKA KAMA ILIVYOUSIWA KATIKA LILE FUNGU ALIOKURUZUKU NALO MUNGU.