Naomba shauri Kuhusu biashara ya Uber

Naomba shauri Kuhusu biashara ya Uber

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,732
Reaction score
3,508
Habari Wakuu,

Nakusudia kununua ka gari ili nianze biashara ya kutoa huduma ya usafiri(uber,bolt nk)

Je nikiwa na driving license class D nitaweza kukubalika au ni mpk niwe na class C3 kama nilivyoambiwa?

Je kazi ipoje kwa hapa dar es salaam?

Naomba ushauri toka kwa wenye uzoefu na kazi hii.

Ahsanten.
 
Mm nakuomba uendeshe mwenyewe ndio utaona faida. Ucje ukampatia mtu eti akuletee Hesabu.
 
Nakuomba hela hyo kafungue biashara nyingine
biashara nyingine kama ipi,, kila mtu akifanya biashara kama yako iiitakuaje,,? Kwenye maisha ni lazima tutofautiane ili tuwezeshane,, wewe ukifanya hiyo unayofanya mimi nifanye ninayofanya na yule afanye anavyofanya ili mwisho wa siku kila mmoja anapeleka chochote nyumbani,,
 
Back
Top Bottom