Habari Wakuu,
Nakusudia kununua ka gari ili nianze biashara ya kutoa huduma ya usafiri(uber,bolt nk)
Je nikiwa na driving license class D nitaweza kukubalika au ni mpk niwe na class C3 kama nilivyoambiwa?
Je kazi ipoje kwa hapa dar es salaam?
Naomba ushauri toka kwa wenye uzoefu na kazi hii.
Ahsanten.