tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Natanguliza shukran.. mdogo amemaliza form 4 mwaka huu na kupata b+ nne na B moja na C 4 ambazo B+ ni za phy, chem, biol na math,alikua ana hamu ya kusoma chuo cha ufundi badala ya advance.
Sasa naomba mnijuze kuna njia gani nifanye ili apangiwe chuo cha ufundi moja kwa moja.
Sasa naomba mnijuze kuna njia gani nifanye ili apangiwe chuo cha ufundi moja kwa moja.