tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Natanguliza shukran.. mdogo amemaliza form 4 mwaka huu na kupata b+ nne na B moja na C 4 ambazo B+ ni za phy, chem, biol na math,alikua ana hamu ya kusoma chuo cha ufundi badala ya advance.
Sasa naomba mnijuze kuna njia gani nifanye ili apangiwe chuo cha ufundi moja kwa moja.
Subir Nafax Zitoke Aende Kuaply ,kama, Dit, Must,wdmi,atc,nk, Au Nenda Wizaran Pale Atabadilishiwa Badala Ya Advance Atawekewa Chuo
Kwani alijaza nini wakati wa kujaza zile form? Angeanza chuo halafu akamaliza na Advance. Miaka yetu mimi nilifanya hivyo kwani ilikuwa ni dhamira yangu kupitia ufundi moja kwa moja!
Subir post zitoke then zikishatoka aende wizaran fasta!! Askate tamaa kwan kubadilisha kutoka advance kwenda chuo huwa ngumu kidgo!! Namkaribisha sana chuo cha maji ubungo(wdmi)
Kwani alijaza nini wakati wa kujaza zile form? Angeanza chuo halafu akamaliza na Advance. Miaka yetu mimi nilifanya hivyo kwani ilikuwa ni dhamira yangu kupitia ufundi moja kwa moja!