ni km umenunua ka radio kapyaaaa halafu ukakawekea duracell mpyaaaa ukafungulia mpaka mwisho ndani kwako tehetehetehe. siku hizi ukabila hauna nafasi tunakua kwenye jamii moja labda tofauti mimi naiona kwenye society tunazokulia na si kabila. kwa mfano watu wanaosoma au waliopitia shule za st.kayumba huwa wagumu na wavumilivu ila waliosoma st. maries n academies huwa watoto wa mama saaaana so achana na ukabila. juzi kuna dogo mmoja nilimuulizia mtu flani ana same sirname na yeye akasema yeye hamjui na kwao moshi hajawi kaa zaidi ya wiki. kazaliwa dar kakulia hapa std one hadi six na chuo vyote hapa dar hata lugha ya kwao inampa shida. mimi mwenyewe lugha ya kwetu siijui kabsaa sijazaliwa songea na sijawahi ishi songea zaidi ya miaka miwili na mkinipa mke wa mtu nimsindikize atafika salama salmin. so kabila watu washayasahau