Naomba SPSS

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Waungwana naomba mwenye soft ware ya SPSS anidondoshea hapa jamvini natanguliza shukurani
 
Usijali nitakupigia kesho uje millenium tower nikupatie
 
Ninayo version 17 with all modules, ni PM

:smile-big:
 
Nitanie kwani nina ugomvi nae? Ninayo kiukweli
 
SPSS 17.01 Statistics with all working modules: full version


  • SPSS Advanced Statistics
  • SPSS Categories™
  • SPSS Complex Samples™
  • SPSS Conjoint™
  • SPSS Custom Tables
  • SPSS Data Preparation™
  • SPSS Data Entry™
  • SPSS Decision Trees
  • SPSS Exact Tests™
  • SPSS Forecasting
  • SPSS Missing Values
  • SPSS Neural Networks™
  • SPSS Statistics Programmability Extension™
  • SPSS Regression
  • SPSS Statistics Adapter for SPSS Predictive Enterprise Services™
  • SPSS Statistics Base
Upo hapo bandugu????

hii ni 1.7GB
 
au unataka PSW 18(SPSS 18.0) ninayo pia

View attachment 12706

Improved Research Tools

* Codebook procedure (PASW Statistics Base)
* Improved Syntax Editor (PASW Statistics Base)
* Multiple Imputation for missing values (PASW Missing Values)
* Nearest Neighbor analysis (PASW Statistics Base)
* Improved Categorical Regression Predictions Within CATREG (PASW Categories)
* Median Function and Lead Function to COMPUTE and Lead to IF (PASW Statistics Base)
* Aggressive Versus Conservative Rounding in COMPUTE (PASW Statistics Base)
* Extend PASW Statistics' Spell-Check Capabilities to Include Text Strings in Data (PASW Statistics Base)

Hii wala sio kubwa 308MB tu!
 
Sasa mkuu wa Ndima
Ni kweli unaweza kuwa na hizo software zote lakini jamaa kakuomba uziweke mtandao afanye kudownload. Utasanisamehe kama ntakukukwaza manake naona ulikichokifanya ni kuweka list ya analysis ambazo SPSS inafanya. Kwa manufaa ya wengine ingekuwa vizuri upload rapidshare,yousendit,fileshare na wengine kibao ukatoa link mwenye uwezo akadownload kutoka hapo. Unless uwe unafanya biashara.
 


Poa nimekupata ila itanibidi kuziweka kama parts (Nizivunje vipande vidogovidogo kisha uziunge) kitu ambacho kitachukua muda ili uweze kudownload kwa Rapidshare au Hotfile.

Ila kuna kipindi niliziweka hapa JF link fulani nikiwa na ID nyingine zikafutwa
 

hapo nilipoweka nyekundu ni kwa sababu Mganyizi alisema Natania
 
Haina shaka mkuu
Niliona niliseheme kidogo manake niliona kama vile jamaa kweli anaitaji hii software sasa angekuwa desperate kama angeishia kupewa list ya analysis
Juakali naomba niwe mwanafunzi wako kidogo, nimefuata iyo link uyotoa ya torrenttz, ishu ni kwamba nimedownload some document lakini hazifunguki kwa winrar kuna kipindi nilidownload utorerant (nafikiri inaitwa hivyo) kwa kutokujua matumizi yake niliamua kuiondoa,. please let me know jinsi ya kufungua aya mafaili tofauti na kutumia winrar
 
labda yawezekana hapo umedownload torrent file ambayo unatakiwa
uiweke kwenye utorrent ili idownload kisha ikimaliza
ndo uifungue na WinRAR kama iko compressed
 
labda yawezekana hapo umedownload torrent file ambayo unatakiwa
uiweke kwenye utorrent ili idownload kisha ikimaliza
ndo uifungue na WinRAR kama iko compressed

Yeah inawezekana ngoja nijaribu kuweka kwenye utorrent nione manake extension ya hili file imekaa kushoto shoto
Thanks
 
Mkuu wa Ndima
thanks kwa ushauri naona inafanya kazi
Nilidownload vitabu vya software ya matlab naona imefanya kazi na kuna vitabu kibao klichobaki ni kusoma kimoja moja kutegemea na matumizi yangu
thanks a lot, if you have any useful suggestion please husisite kutufahamisha
 
mdau mwenye hiyo software ya SPSS tafadhali atusaidie kuiweka hapa tuinyonye kwani namimi nahitaji.link aliyotoa mdau JUA KALI imenichanganya namna ya kuipata na kudownload
 
Process yake iko hivi very straight forward. download vuze au client nyingine yoyote miye natumia vuze www.vuze.com install. halafu nenda kwenye hiyo website niliyoiweka hapo juu www.torrentz.com search software unayoihitaji ukiiclick itakuuliza kama unataka ku-save click open. Baada ya hapo vuze itafunguka na kuanza kudownload.
 
Kama Software zote zipo hapo nitafutie Pixelan Adorage Package au SpiceMaster kwa ajili ya
Adobe Premiere, Magix Edit Pro n.k

@ Wa Ndima: Nikikutatutia utakuja kuichukua? nilichokuwa nawaeleza jamaa ni kwamba kama wana uwezo wa ku-download midude ipo pale. Hata hizo unazozitatuta dakika hii natype naziangalia so sielewi kama hukutaka jamaa wajue unakozipata ua la. Hili ni tatizo kubwa sana kwetu sisi wabongo ubinafsi mwingi sana. nina uhakika 100% unazitoa somewhere ambako kila mtu ukiweka address hapa ana uwezo wa kwenda kuzishusha bila tatizo lolote. IT haitaki ubinafsi hakuna ajuaye kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…