Naomba taarifa kuhusu Postgraduate Diploma in Education, UDSM

Naomba taarifa kuhusu Postgraduate Diploma in Education, UDSM

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
Habari wakuu,

Naomba msaada kujua kuhusu post graduate diploma in education. Nmemaliza chuo mwaka huu na nataka kuunganisha nisome post graduate, naomba ushauri je chuo gani naweza kusoma na ningependa kiwe Dar ili iwe rahisi maana huku ndio nafanya shughuri zangu za biashara. Je naweza kupata nafasi DUCE au UDSM kwa wakati huu mana nmetembelea web ya DUCE wameshatoa selection.

Kwa wale wanaojua je selection zikishatoka huwa hamna nafac kwa waliochelewa kuaply.

Msaada tafadhari.
 
Kama unataka lazima iwe Dar nenda OUT niliongea na muhusika wa mambo ya ed. akasema post grad. dip. in ed wao wanapokea application an time mpaka kabla ya masomo kuanza.

Kwa DUCE sifahamu kama inawezekana kuchakachua ama vp.

Udom walikuwa washafunga usajili ila wameextend kidogo deadline ni 12/09/2014 kwa wale ambao wanaweza soma nje ya Dar.
 
Hiyo program itaanza Muce Mwaka huu
 
Mi napenda kujua vigezo vya kusoma hyo post graduate, alafu ukimaliza unapangwa kwenye shule za sekondari kama undergraduate
 
Back
Top Bottom