Naomba taarifa kuhusu VOLVO XC 60

Nauliza hili kwa kuwa shughuli zangu nyingi napita mashambani ambako barabara ni changamoto kubwa
 
Nauliza hili kwa kuwa shughuli zangu nyingi napita mashambani ambako barabara ni changamoto kubwa
Hapa itategemea na kiwango chako cha kutunza gari!

Wengi wetu kutunza gari hatuwezi! Siku chache tu mara bampa limefungwa screws kibao, ribit kila kona, vichaka vimekwaruza rangi ubavuni hadi kero..

Kama utunzaji wako ni wa hali/kiwango cha juu, nunua tu mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…