Naomba tafsiri tafadhali

Naomba tafsiri tafadhali

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
2,025
Reaction score
1,270
Kwenu wana JF,

Nimekutana na utenzi huu ambao unaonekana kama ni maongezi.Nimetamani kujua kwamba hii LUGHA gani ni nini Theme ya hii debate au hii sehemu ya Igizo.Kwa anayejua naomba anisaidie kupata tafsiri.Mistari ya utenzi huo ni kama ifuatavyo
___________________________________________________________________________________________________

Actor one: Nyira wandu mkumbukye ifumbudu(ndege)....daaaa ngalolya picha ngakumbo lyekaba kelele jamanii
Actor One: Ifumbudu (Bundi)..
Actor two: Daah!yan mm ilikuwa nikiliskia tu hata usingizi wote unakata.
Actor One: hahahha babu lyechowosha basi jamn
Actor 2: Yan we acha tu.hasa lilie halafu nyumban niko peke yangu weeh!hatar tupu.
Actor One: ahahha babu ode kongiseta basi, ngedicha sana
Actor three: lya balaaa
 
Back
Top Bottom