Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hi ni lugha ambayo Waikato mwingine ni mandatory yaani ni lazima ingawa Neno ni persuasive.Wana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema "
THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN SPECIFIED TIME REQUEST THE EMPLOYEE TO SUBMIT TO HIM THE DEVELOPMENT REPORT.
Swali:
Je ni kwamba huyo assistant Director ni lazima au anaweza akahitaji kwa muda maalum utakao pangwa na yeye au ataachia tu kwamba muda wowote hata ipite miezi 12 kumuomba mtu mishi taarifa za maendeleo au naomba ufafanuzi zaidi
Maaana yake ni kwamba hata kama hakupanga muda anaweza akakaa tu na kusubiri siku yoyote ataletewa hat aziishe miaka 5Hi ni lugha ambayo Waikato mwingine ni mandatory yaani ni lazima ingawa Neno ni persuasive.
Kwenye sheria neno "MAY" ni optional lakini "SHALL" haina optionWana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema "
THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN SPECIFIED TIME REQUEST THE EMPLOYEE TO SUBMIT TO HIM THE DEVELOPMENT REPORT.
Swali:
Je ni kwamba huyo assistant Director ni lazima au anaweza akahitaji kwa muda maalum utakao pangwa na yeye au ataachia tu kwamba muda wowote hata ipite miezi 12 kumuomba mtu mishi taarifa za maendeleo au naomba ufafanuzi zaidi
Siyo kweli. Neno MAY linamaanisha time variance na neno SHALL linamaanisha exact time.Kwenye sheria neno "MAY" ni optional lakini "SHALL" haina option
Maana yake atakapoihitaji hiyo report itolewe na asipoihitaji hiyo report si lazima umpatie lakini report lazima iwe tayari muda wote.Wana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema "
THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN SPECIFIED TIME REQUEST THE EMPLOYEE TO SUBMIT TO HIM THE DEVELOPMENT REPORT.
Swali:
Je ni kwamba huyo assistant Director ni lazima au anaweza akahitaji kwa muda maalum utakao pangwa na yeye au ataachia tu kwamba muda wowote hata ipite miezi 12 kumuomba mtu mishi taarifa za maendeleo au naomba ufafanuzi zaidi
Yote ni sawa.Tofauti ni kwamba wewe umeangalia kwenye muda, lakini mimi nimeangalia kwenye ResponseSiyo kweli. Neno MAY linamaanisha time variance na neno SHALL linamaanisha exact time.
Hiyo optional ni kwamba upande mmoja unalazimika kutekeleza na upande mwingine haulazimiki kutekeleza. Yaani kwa mfano hiyo mada hapo juu ni kwamba employee analazimika kutayarisha report yaani ni lazima report itayarishwe....ila huyo Assistant Director anaweza kuiomba ama kutokuiomba....which means asipoiomba hatakuwa ametenda kosa.Yote ni sawa.Tofauti ni kwamba wewe umeangalia kwenye muda, lakini mimi nimeangalia kwenye Response
Mfano soma Paragraph 7 of Income Tax (Transfer Pricing) Regulations 2014.Hiyo optional ni kwamba upande mmoja unalazimika kutekeleza na upande mwingine haulazimiki kutekeleza. Yaani kwa mfano hiyo mada hapo juu ni kwamba employee analazimika kutayarisha report yaani ni lazima report itayarishwe....ila huyo Assistant Director anaweza kuiomba ama kutokuiomba....which means asipoiomba hatakuwa ametenda kosa.