Naomba tafsiri ya ndoto hizi nilizoota: Niko kwenye tamasha la mziki

Naomba tafsiri ya ndoto hizi nilizoota: Niko kwenye tamasha la mziki

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wakuu.

Leo nimeota nipo kwenye tamasha la muziki natumbuiza. Baadae nikaota niko tafrija ya mziki. Baadae tena nikaota nakula chakula.

Naomba mnisaidie nini maana ya Ndoto hizi

Asanteni sana

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom