GospelUlikua unaimba nini, hip hop au taarabu!? Fafanua
GospelUlikua unaimba nini, hip hop au taarabu!? Fafanua
Tuanzie hapa ulikuwa unaimba nyimbo gani kama n taarabu jua ulikuwa unapigwa miti
From boy with mission
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anakaribia kujibu maombi yako.
Aiseeulivyokua umelala kuna jirani alikua anapiga hiyo nyimbo ya bahati bukuku wewe ukavamia tu show ndotoni.