B bievinii JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 712 Reaction score 736 Jul 10, 2021 #1 Naomba kuuliza hivi Hilo neno happy juu kwenye kichwa Cha habari Lina maana gani in Swahili?
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Jul 10, 2021 #2 Mh kwa tafsiri isiyo rasmi neno aroma ni ile harufu fulani ya kuvutia inayotoka kwenye kitu cha kuliwa mfano chakula chenye viungo,kinywaji au tunda.zaid ya hapo ngoja wengine wajuzi waje kutufafanulia
Mh kwa tafsiri isiyo rasmi neno aroma ni ile harufu fulani ya kuvutia inayotoka kwenye kitu cha kuliwa mfano chakula chenye viungo,kinywaji au tunda.zaid ya hapo ngoja wengine wajuzi waje kutufafanulia
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Jul 21, 2021 #3 bievinii said: Naomba kuuliza hivi Hilo neno happy juu kwenye kichwa Cha habari Lina maana gani in Swahili? Click to expand... Aroma ni harufu, na fantastic ni kitu kizuri kinachopendeza nk, Hivyo maneno Fantastic aroma maana yake ni "Harufu nzuri sana"
bievinii said: Naomba kuuliza hivi Hilo neno happy juu kwenye kichwa Cha habari Lina maana gani in Swahili? Click to expand... Aroma ni harufu, na fantastic ni kitu kizuri kinachopendeza nk, Hivyo maneno Fantastic aroma maana yake ni "Harufu nzuri sana"