Naomba tafsiri ya neno "LIMBUKENI"

Naomba tafsiri ya neno "LIMBUKENI"

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Wakuu nawasalimu wote

Habari za Asubuhi.

Kama kichwa cha Uzi kinavyosomeka naomba mniambie maana ya neno "LIMBUKENI"

Maana nimekua nikijiuliza tafsiri ya hili neno na sijaweza kupata maana ya neno Hilo
 
Hakuna maana nyingine tofauti na hiyo mkuu
Maana nikihusishanisha namna neno Hilo linavyotumika naona Kama bado haijaleta maana sahihi
 
Limbukeni = Masanjaone

Simple kabisa. We mfuatilie Masanja tu utajua maana ya limbukeni na anafananaje
 
LIMBUKENI ni MTU ambaye AMEPATA AU ANATUMIA kitu ambacho HAJAWAHI KUKITUMIA AU HAJAWAHI KUKIPATA ktk MAISHA YAKE,,,,huku AKIJIONNYESHA MBELE ZA WATU KUTUMIA AU KUMILIKI KITU HICHO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom