pharao
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 397
- 690
Samahani wazee Nikitaka kusema "Juma agawa pesa kwa Wanawake"
Nasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mwandishi wa habari na magazeti?Samahani wazee Nikitaka kusema
"Juma Agawa Pesa Kwa Wanawake"
Nasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yanatoka wapi tena mzee? nitaweza vipi kuandika Habari kama nauliza kitu kidogo kama hiki mzeeWe ni mwandishi wa habari na magazeti?
Hiyo kauli ni kama ya magazetiHayo yanatoka wapi tena mzee? nitaweza vipi kuandika Habari kama nauliza kitu kidogo kama hiki mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
'agawa' ni nini? Tuanzie kwanza hapo.Samahani wazee Nikitaka kusema "Juma agawa pesa kwa Wanawake"
Nasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app