TWANJUGUNA
Member
- Jun 6, 2010
- 28
- 1
Ni ikitadi ya kijeshi
Socialism = Ujamaa, socializatioan = Ujamaishi
Militarisim = Ujeshi, militarization = Ujeshishi
Lugha inakua kwa kuwa na kila neno linalojitosheleza kueleze concept kuliko kutunga sentensi ili kutafsiri neno. Sifurahishwi na "live = moja wa moja". kwa nini kutumia sentensi kutafsiri neno.
Jamani haya ni swali la mapatano kwangu. Yaani tukizoea kujadili mambo kwa lugha ya Kigeni (Kiingereza) na tukitaka kuendelea kwa Kiswahili hatuna budi kuelewana na kupatana. Yaani tukijadili kitu kisichokuwepo katika utamaduni wa jadi hatuna budi ama ubuni maneno mapya au ubadilisha uzoefu wa maneno yaliyopo. Hivyo ndivyo katika kila lugha. Naona "itikadi ya kijeshijeshi" inawezakana.... jamaa asema ni 'kijeshijeshi'....
Vipi maoni yako?