Naomba tathmini yenu

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,213
Reaction score
13,253
Ipi njia bora na inaokoa gharama kuweka mkandarasi au kuwatumia mafundi wa kawaida ktk ujenz wa nyumba?? Kwasababu ktk mafundi wa kawaida suala la usimamiz linanipa shida kwakuwa mm mwenyew sio mkaaji wa sehem ninayotaka kujenga. Naomba ufafanuzi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…