Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole sana unayo maradhi ya koo na na ulimi kuwa na alama za michirizi ni dalili ya upungufu waMadini na Vitamin mwilini mwako. Kama umetumia Dawa za hospitali hujapona kuna dawa za asili ukitumia utaweza kupona maradhi yako uguwa pole.naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
Nashauri tembelea clinic ya kinywa Na meno Kwa uchunguziMkuu pole sana unayo maradhi ya koo na na ulimi kuw ana alama za michirizi ni dalili ya upungufu waMadini na Vitamin mwilini mwako. Kama umetumia Dawa za hospitali hujapona kuna dawa za asili ukitumia utaweza kupona maradhi yako uguwa pole.