Jf inatia hurumua, juzi nilisumbuana na mods kuwapima kama nitapigwa ban lakini wapiAdhabu walioitoa Tcra ilikuwa inaisha tarehe 9 disemba.
Sasa kwa nini wanawanyima Watanzania uhuru wa kujadili na kupeana habari juu ya mustakabali wa taifa lao?
Kwa nini Tcra wanakiuka na kuikanyaga ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Naomba msaada wa Tls ili watanzania wawe huru kupashana habari
Imetoa nyingi na zikapuuzwaHata kama mahakama itatoa amri?