Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Ninaomba mnisaidie kunitofautishia kati ya Creditors na Debtors, hizi terms nimeshndwa kuzielewa vizuri.
Hata nimejarbu ku-google lakini sijaweza kutofautisha. Asanteni.
Ninaomba mnisaidie kunitofautishia kati ya Creditors na Debtors, hizi terms nimeshndwa kuzielewa vizuri.
Hata nimejarbu ku-google lakini sijaweza kutofautisha. Asanteni.
mfano wewe ni mfanya biashara unapoenda kununua mzigo kwa mkopo maana yake wewe unakuwa creditors wa yule jamaa aliekuuzia.
Akija mteja kisha wewe ukamkopesha mzigo wa biashara huyo ni Debtor wako.
creditors ni payable, itakupasa ulipe.
debtors ni Receivable itakupasa ulipwe in future.
Creditors ni WADAI wa biashara (watu /kampuni zinazokuuzia bidhaa kwa mapatano ya kulipwa baada ya kuletewa bidhaa) na Debtors ni WADAIWA wa biashara(watu/kampuni unaowauzia bidhaa kwa mapatano ya kulipa baada ya mauzo)
Debtors - Debtor - Wikipedia, the free encyclopedia
Creditors - Creditor - Wikipedia, the free encyclopedia
kwa kiswahili debotors - unaowadai
Creditors - wanaokudai
Nahisi walimu wa fizikia/kemia wanahitajika kueleza hayo maneno.Na mimi nataka kujua tofauti ya CATHOD na ANOD
Na mimi nataka kujua tofauti ya CATHOD na ANOD
hapa ndio utakipenda kiswahiliNa mimi nataka kujua tofauti ya CATHOD na ANOD
Anode ni elektrodi hasi au ya kupunguza ambayo hutoa elektroni kwa saketi ya nje na oksidi wakati na mmenyuko wa kielektroniki. Cathode ni electrode chanya au oxidizing ambayo hupata elektroni kutoka kwa mzunguko wa nje na hupunguzwa wakati wa mmenyuko wa electrochemical.
Yani wewe ni mwalimu then hujui simple terms kama hizo za accounting?Nashukuru sana wote kwa msaada wenu, sasa ule utata niliokuwa nao umeondoka. Jumatatu, madogo ntawafundisha "Balance Sheet", nilikuwa sijaelewa kwanini "Creditors" ni Current Liabilities na "Debtors" ni Current Assets. Asanteni wote.
Duh!mfano wewe ni mfanya biashara unapoenda kununua mzigo kwa mkopo maana yake wewe unakuwa creditors wa yule jamaa aliekuuzia.
Akija mteja kisha wewe ukamkopesha mzigo wa biashara huyo ni Debtor wako.
creditors ni payable, itakupasa ulipe.
debtors ni Receivable itakupasa ulipwe in future.