Identity maana yake ni Utambulisho, yaani jinsi mtu au kitu kinavyoweza kutambulika.
Character ni sifa, yaani sifa inayofanya kitu au mtu atambuliwe kwayo. Pia ni neno lenye maana nyingine ya mshiriki katika tamthiliya, mchezo wa maigizo nk.
Behaviour ni tabia, unaweza sema kijana huyu anazo tabia mbaya yaani; this young man has bad habits.