M mahwelu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2013 Posts 322 Reaction score 253 Mar 6, 2014 #1 Wakuu wanajamii, leo nimekumbana na misamiati mingi wakati nasoma jarida fulani . Nimejifunza kwamba hata kiswahili changu huenda sio sahihi naomba msaada wa tofauti ya maneno haya:- 1. STARA vs STAHA 2. KUSTAHMILI NA KUVUMILIA asanteni sana.
Wakuu wanajamii, leo nimekumbana na misamiati mingi wakati nasoma jarida fulani . Nimejifunza kwamba hata kiswahili changu huenda sio sahihi naomba msaada wa tofauti ya maneno haya:- 1. STARA vs STAHA 2. KUSTAHMILI NA KUVUMILIA asanteni sana.