Naomba tofauti ya misamiati hii

Naomba tofauti ya misamiati hii

Joined
Nov 21, 2019
Posts
83
Reaction score
44
Tofautisha misamiati ifuatayo:
I. Subira na uvumilivu

II. Shaka na mashaka

III. Jeuri na kiburi

IV. Shida na tabu

V. Hekima na busara
 
Subira, hali ya kusubiri jambo fulani kytokea.

Uvumilivu, inahusiana na kuweza kustahimilu shida au mateso.

Shaka na mashaka, zote zina maana moja.

Jeuri, kama mbishi kutekeleza jambo fulani.

Kiburi, inahusiana kuwa na hasira pia dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subira Ni kusubiri, uvumilivu Ni kuzoea linalokuumza
Shaka na mashaka Ina maana moja
Jeuri Ni ubishi na ukorofi , kiburi Ni kutokubaliana na ukweli
Hekima Ni umakini, busara Ni maamuzi chanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom