Car and Spear dealer
Member
- Nov 21, 2019
- 83
- 44
Shukrani MdauSubira Ni kusubiri, uvumilivu Ni kuzoea linalokuumza
Shaka na mashaka Ina maana moja
Jeuri Ni ubishi na ukorofi , kiburi Ni kutokubaliana na ukweli
Hekima Ni umakini, busara Ni maamuzi chanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sanaSubira, hali ya kusubiri jambo fulani kytokea.
Uvumilivu, inahusiana na kuweza kustahimilu shida au mateso.
Shaka na mashaka, zote zina maana moja.
Jeuri, kama mbishi kutekeleza jambo fulani.
Kiburi, inahusiana kuwa na hasira pia dharau.
Sent using Jamii Forums mobile app