93% ya member humu ni waajiriwa na 7% ni wakulima na wafugaji na miongoni mwa hao 7% ni wewe tu ndio upo online wenzako wapo shamba na wengne wanachunga mifugo.
Ndio uharisia.Du!!
Nimekupata, asante!Dagaa wa ziwa lolote ni wazuri kwa kuku mayai japo wale (dagaa - bahari) maji chumvi kwa kuku wanyama ni bora sana. Pili, inategemea na mahali ulipo, wapi utawapata kwa urahisi na kwa bei nafuu, na mara kwa mara. Zingatia, unachotafuta ndani ya hao dagaa ni wingi wa protini hivyo wawe ni wa ziwa; Tanganyika( bei ghali), Nyasa au Victoria na kadhalika sawa tu. Ufugaji mwema.