Naomba tujuzane bei za jumla za mchele

Naomba tujuzane bei za jumla za mchele

Kaka Ibrah

Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
83
Reaction score
65
Habarini wadau,

Ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
 
Kilo 600/=, kua serious we jamaa.
 
Habarini wadau, ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
Mkuu una uhakika hiyo ni bei ya mchele kwasasa au mpunga?

Hapa nilipo mchele super ni 3,500/=
 
Habarini wadau, ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
Upo Moro ipi?

Njoo Mvomero kilo ni 350. ( Mia tatu hamsini.)
 
Mpaka dakika hii naandika hapa Arusha mchele super kilo ni tsh 3600/=
 
Back
Top Bottom