Kaka Ibrah
Member
- Sep 6, 2022
- 83
- 65
Live kabisaWe jamaa kilo 1, mia sita.
Morogoro ipi hio ya kilo 600Habarini wadau, ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]"Lakini mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe "
Ingieni tamaa na mchele wa 600 mzae dhambi [emoji16][emoji16]
Mkuu una uhakika hiyo ni bei ya mchele kwasasa au mpunga?Habarini wadau, ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
Morogoro ya kwenye pichaMorogoro ipi hio ya kilo 600
Upo Moro ipi?Habarini wadau, ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
punguza masihara mkuuUpo Moro ipi?
Njoo Mvomero kilo ni 350. ( Mia tatu hamsini.)
Acha ujinga!Habarini wadau,
Ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
Huu utoto sasaUpo Moro ipi?
Njoo Mvomero kilo ni 350. ( Mia tatu hamsini.)