Naomba tume ya tcu ifike college of informatics udom

Naomba tume ya tcu ifike college of informatics udom

papachu

Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
29
Reaction score
1
Unajua nimefuatilia kwa kina vyanzo nya matatizo na migomo chuo cha udom hasa iliyopelekea mgomo mkubwa ambao unawafanya watoto wa wakulima wapatao 1200 wapo mtahani kama wazurulaji kwa kile ambacho awajui watalejeshwa lini chuoni hapo
matatizo ambayo yapo hapo college of informatics ni kiwango cha elimu kinachotolewa hapo yaani hapo chuoni kila mwisho mwa mwaka wanachuo wapatao 70 wanashindwa kuendelea na elimu kwa kufeli hii inatokana na kufaulu katika kiwango kisicho staili katika muhula wanachuo wengi wanafaulu kwa ufahulu wa C,nimeongea na wanachuo wa chuoni hapo wanadai sababu zinazofanya kuferi ni kutokana na bahazi ya kozi kutokuwa na wakufunzi utakuta kozi ya miezi inafundishwa kwa siku 5 tena na wakufunzi kutoka udsm,pia chuoni hapo wengi wa wakufunzi ni wale wenye digrii ya kwanza ambao nao wapomasomoni chuoni hapo wanasoma masta,pia hapo chuoni kuna wakufunzi wanatabia ya manyanyaso kwa wanachuo hasa anayehusika na ofisi ya elimu anamanyanyaso na kutishia wanachuo kuwa yeye ndiye anayeamua kufahulu na kufeli kwako
ombi langu naomba tume ya vyou vikuu tanzania ifike hapo informatics udom na ifanye uchunguzi na kuangalia matatizo ya kielimu chuoni hapo
 
Back
Top Bottom