Unajua matatizo ya college of informatics udom ni mengi nimeonana na wanachuo wa college ya informatics wameeleza matatizo yao mengi sana likiwemo la wenzao kila mwisho wa mwaka wapatao 70 hufeli na kurudi nyumbani kwa kile kitendo cha kufeli kinachotokana na ufundishaji mbovu chuoni hapo utakuta kozi ya miezi minne inafundishwa kwa siku tano tena na mkufunzi toka chuo kikuu cha udsm,je ni aina gani wa watahalamu tunatoa kwa kozi kusoma siku tano
Unajua chuoni hapo wanachuo wanadai kufundishwa na wakufunzi wasio na sifa linganishi kwani wengi wao ni wanafunzi wanao soma mastars chuoni hapo je tangu lini mkufunzi msaidizi akakabiziwa kozi,naomba TCU ifike chuoni hapo na ifuatilie swala zima la elimu linalotolewa chuoni hapo aiwezekani kozi inawanafunzi 400 wanafaulu katika hiyo kozi 75 na hao wengi wao wanafahuru kwa ufahulu wa daraja C na wengine inawalazimu warudie kozi
Naomba TCU ifike chuoni hapo