aloma_matei7
Member
- Dec 13, 2018
- 12
- 11
Hivi huyu mtu inakuwaje mpaka sasa hachezi ulaya wakati kuna viande kibao kule?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cadabra kwema mkuu !Hapo usajiri wa yanga walibet vizuri.
Safi mkuu,Kanji anasemaje
Alipigwa mtobo wa ajabu mpaka akapoteza network. Na kama Mayele angefunga, basi na yeye angeanzishiwa uzi wa kuuza mechi kama mwenzake Enock InongaMtu na nusu, ila zimbe huenda akawa na maneno mazuri sama ya kumzumgumzia
Kweli kabisa mkuu.Aziz Ki. Sakho..Mayele....hata Belgium wanacheza Kama sio France
Kwani ukikubali ni mzuri utapungukiwa nini?..Kwani hiyo timu inasajili wachezaji wote wazuri duniani?.Jana game ilimkubali tu mimi naona wa kawaida kama angekuwa mzuri sana timu ya Austria ingemnunua yeye kwa bilioni 3 badala ya Karim Konate
Wewe una jicho la kiufundi kwenye mpira, unajua Kuna wachezaji wanaokuja kucheza Hulu bahati mbaya tu. Uhalisia walipaswa kuwa Europe zamani. Anyway yote mipango yake Mola.Aziz Ki. Sakho..Mayele....hata Belgium wanacheza Kama sio France