Ali Kiba alimuacha.
Itakuwa una usingizi.....lala ukiamka sikiliza tena alafu uache kuvuta bange.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you guys mmeifanya asubuhi yangu poa kabisa.Watanzani kwa unyumbu nahc hawa wcb hata wakitoa wimbo wamekohoa kwenye beat mwanzo mwisho bado watanzania wataupenda.
Nilijua mtu kama wewe ukose kwenye uzi huu popoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you guys mmeifanya asubuhi yangu poa kabisa.
Asanteni.
Kaanza muziki kabla ya diamondMaisha haya ya tanzania sijui yataisha lini baba akiwa jeshi watoto nao lazima wawe majeshi akiwa mwana siasa lazima watoto wafuate huko kwahiyo mondi muimbaji dada yake lazima naye awe msanii lazima apuyange tuuu anaforce kuimba
Naanzaje kukosa sasa?Nilijua mtu kama wewe ukose kwenye uzi huu popoma
Huwa unanifurahisha sana kwa ukweli wako,kuna mtu namsubiri kwa hamu nione atasema nini.Wimbo mbaya kwa kweli hawa wasanii wengine wakongwe wangepumzika tu game ngumu mno sasa hivi
Wewe tena mkuu cjui unakula mshahara madale?Kweli masikio tumetofautiana, mbona ni bonge moja la ngoma.
MwanamkeLakin huyu Queen Dareen alitoka kabla ya domo,kilimkuta kipi?
Utakuwa una moyo wa chuma dislikes zote hizo bado una moyo? otherwise unatumia free wifiSijui niudownload?
Naona katoa nyimbo ili aperfom beach party yao kumbuka alikuwa anaosha vyombo tu studio,Queen Darling rudi ukampigie magoti King Kiba utoke tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndio ile new 'hit' uliyoniambia itatoka baba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
cc The bold
Basi wimbo m'baya, hapo vipi nakula mshahara k/koo ???Wewe tena mkuu cjui unakula mshahara madale?
Bange nimeacha mwaka 1913,na nimelala na nimeamka nimeona ngoma ni kali zaidi ya nilivyosikiliza mara ya kwanza.Itakuwa una usingizi.....lala ukiamka sikiliza tena alafu uache kuvuta bange.
Hii misukule ya madale hali yao ishakuwa mbaya inabidi tuwakamate kilazima tuwapeleke kariakoo wakafanyiwe maombi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you guys mmeifanya asubuhi yangu poa kabisa.
Asanteni.
Inasemekana huwa wanapewa buku 2 kila wakiweka Post ya kuwasifia kwenye social Media....Inasemekana lakini.Wewe tena mkuu cjui unakula mshahara madale?
Ninacho shangaa mm mtoto wa kiume uko against wanaume wenzio %99 duh ww kibokoBasi wimbo m'baya, hapo vipi nakula mshahara k/koo ???
Someka basi mkuu,una tatizo na komenti zangu au kuna lingine,maana NIMESIFIA UMENIPONDA na sasa NIMEUPONDA bado unaniponda shida nini ........???Ninacho shangaa mm mtoto wa kiume uko against wanaume wenzio %99 duh ww kiboko