Naomba tupeane mbinu za Kuimuita Mwanafamilia wako aliyeko Kijiweni kuwa Chakula tayari pasipo aje Kula na wale wengine wasijue

Hizi Kauli Siku hizi zimeshashtukiwa na wana Vijiweni Mkuu hivyo nipe mpya ( latest please )
Basi chukua hii RC Makonda yuko live TBC akiapishwa kuwa ....... hapo tayari ulisha amka zamani unaongoza home
 
•Mwenye macho haambiwi tazama!
•Oyaaa Parapanda Limelia
•Brazaa Okwi kapiga hatrick huku
•Baba Nani, njoo uniwashie TV
•Kaka simu yako inaita (balaa ni pale uko nayo mkononi)
•Swetie njoo nikuambie[emoji3590]
 



mkuu umenikumbusha mbali sanaa..
kipindi hicho nilikuwa mi ni mpenzi wa kucheza draft sana ...

basi ile mida ya maakuli ikifika
kijiweni chap
dogo , lazima anipe taarifa tena ndo anikute ndo na skuma kete utasikia wapi wee bro kichwa kama ugalitayari
namjibu kwenda uko miguu kama nenda nakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…