Naomba tupigeni kura hapa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Naomba tupige kura kwa MTU wa hapa nyumbani ambayo tunamwamini anaweza kutisaidia kushindana na Corona kutokana na uwezo wa akili na mawazo yake juu ya maslahi mapana ya nchi hii

Wapendelezwa ni
1.
Zitto kabwe. Mwanasiasa kijana
2.Josephat Gwajima. Baba askof wa Ufufuo na uzima
3.Raisi magufuli
4. Ummy mwalimu
5. pm Majaliwa
6..Kamanda Mbowe
7.Mzee wa upako
8.Mwamposa
9 .Getrida Rwakatare
10.Kadinal Yuda
11. Mufti zuberi
12.Nabii Malisa
13.Askof shoo na Malasusa
14.Makonda
15. paskally Mayalla

Chagua watatu wakuongoza mapambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…