Naomba tuwatambue na kuwaunga mkono wasanii halisia waliosimamia haki na ukweli

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Naanza na Msanii Roma Mkatoliki. Salute kwake kwa msimamo wake usio na shaka kutetea haki, umoja na ustawi wa taifa letu.

Natamani Mama Samia amkaribishe nyumbani tena aachane na wanafiki.

Niki wa pili aaaaah sorry Niki Mbishi
 
Roma pamoja na masibu yote kaimba kwa utu Buriani JPM
 
Kala Jeremiah mtoa maana mwishoni aliunga Juhudi
 
Naanza na Msanii Roma Mkatoliki. Salute kwake kwa msimamo wake usio na shaka kutetea haki, umoja na ustawi wa taifa letu.

Natamani Mama Samia amkaribishe nyumbani tena aachane na wanafiki.

Mh Temba asisaulike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…