1. Upinzani umekatazwa kuweka kituo cha kuhesabu kura
2. Wapiga kura kupiga kura kurudi nyumbani marufuku kukaa mita 400 karibu na kituo
3. Matokeo kutangazwa bila form zilizosainiwa na mawakala.
4. Wagombea kukubali matokeo.
Nashukuru kuwa haya yote CHADEMA wameyaunga mkono na kurushia maneno kwa mpinzani mwenzao Odinga. Nawakumbusha kuwa na haya yakiwa Tanzania naomba tuyaunge mkono.