Naomba ufafanuzi hapa wandugu!

gashambala uwezo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
485
Reaction score
67
kama ni dision 3 , lakini nilipata E au F masomo yote ya sayansi , pamoja na hesabu ikwemo naweza kusoma
ualiamu stashahada miaka mitatu?,

Asante
 
Nenda chuo unachokusudia wape hayo matokeo yako wakujadili.
 
kama ni dision 3 , lakini nilipata E au F masomo yote ya sayansi , pamoja na hesabu ikwemo naweza kusoma
ualiamu stashahada miaka mitatu?,

Asante

you mean division 3...? utapata bt kwa masomo ya @ARTS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…