Naomba ufafanuzi, hivi ni haki allowance kukatwa kodi/ na je kigezo kipi kinatumika?

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Mshikaji wangu amepata kazi sehemu fulani .Akapewa mshahara NET TSHS 800000/=, Baada ya miezi sita akapewa mkataba mpya na cheo kipya ila malipo yaleyale na tena mshahara wake ukasomeka Basic salary 606800, house allowance 273200, na transport allowance 220000 na kufanya gross ya jumla 1100000.

hapa nauliza hivi, je huyu rafiki yangu amepunguza mshahara? au ameongezewa?

pia makato ya kodi yata katwa wapi/ kwenye laki sita au yatajumuisha na malipo ya posho (allowance) na kama sio haki hebu nijulishen
 
Kama analipwa mshahara na serikali au taasisi ya Serikali kodi itakatwa kwenye basic salary. Kinyume chake kwenye gross salary
 
Hapo kodi inachukuliwa kwenye Gross yaani kwenye hiyo 1100000. Net ya 1.1m ni chini ya laki nane, kwa hiyo mshahara hapo umepungua.Ila mwambie apige kazi cheo si kimepanda?
 
Mshikaji wangu amepata kazi sehemu fulani .Akapewa mshahara NET TSHS 800000/=, Baada ya miezi sita akapewa mkataba mpya na cheo kipya ila malipo yaleyale na tena mshahara wake ukasomeka Basic salary 606800, house allowance 273200, na transport allowance 220000 na kufanya gross ya jumla 1100000.

hapa nauliza hivi, je huyu rafiki yangu amepunguza mshahara? au ameongezewa?

pia makato ya kodi yata katwa wapi/ kwenye laki sita au yatajumuisha na malipo ya posho (allowance) na kama sio haki hebu nijulishen

Soma INCOME TAX Act 2004 Section 7. Utapata majibu mazuri yasiyo ya kubabaisha.
 
Back
Top Bottom