Mshikaji wangu amepata kazi sehemu fulani .Akapewa mshahara NET TSHS 800000/=, Baada ya miezi sita akapewa mkataba mpya na cheo kipya ila malipo yaleyale na tena mshahara wake ukasomeka Basic salary 606800, house allowance 273200, na transport allowance 220000 na kufanya gross ya jumla 1100000.
hapa nauliza hivi, je huyu rafiki yangu amepunguza mshahara? au ameongezewa?
pia makato ya kodi yata katwa wapi/ kwenye laki sita au yatajumuisha na malipo ya posho (allowance) na kama sio haki hebu nijulishen