Naomba ufafanuzi juu ya faida ya maziwa ya mgando na maziwa fresh

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
735
Reaction score
1,467
Watu wengi hunywa maziwa fresh kwa imani kuwa wanaimalisha mifupa na kupata madini kadha wa kadha, sio Tanzania tu njoo hapa America mtindo ni ule ule kila kifungua kinywa chaenda na maziwa.

Kitu kimoja ambacho walio wengi hamukuelimishwa maishani ni juu ya maziwa ya mtindi(maziwa mgando) kuwa ndio maziwa salama na yenye afya zaidi ya maziwa fresh , ni pale tu kama utajua kuwa maziwa fresh katika usagikaji wake tumboni huchukua mdaa mrefu zaidi ya masaa 53 (hamsini na tatu).

Pili faida za maziwa ya fresh ni chache sana , Narudia tena kuwa faida za maziwa fresh ni chache ukilinganisha na faida zipatikanazo kwenye maziwa mtindi

Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa ya mtindi :-
Na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaha zaidi.

1-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia mfumo wa chakula kwa mtoto mdogo kuwa sawa.

2- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia katika usagaji wa chakula tumboni.

3-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kushambulia vijidudu vinavyo jificha tumboni visababishao magonjwa ya tumbo.

4-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kupunguza madhara ya bacteria wa vidonda vya tumbo.

5-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuleta nafuu ya maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo.

6-Unaweza kujipaka maziwa ya mgando kwenye ngozi hasa kama unashida ya ngozi mfano wa mapunye, miwasho, fungus n.k..

7-Kwa mwanamke mwenye kuhisi miwasho , uchafu , fungus kwenye uke wake anaweza jioshea maziwa ya mtindi kuondoa na kutibu kabisa hali yoyote kama hizo.

8-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuzuia bacteria wasababishao uvimbe(Saratani) hasa maeneo makuu tumboni, mifupa, ngozi, tumboni n.k..

9-Hufungua choo kwa mtoto mdogo mwenye shida ya choo kwa kipindi kirefu.

10-Hufungua mfumo wa chakula hasa kwa mtu ambaye ameshinda bila kula kwa siku nzima.

Bonus : Tiba ya tumbo linalouma , kichefu chefu, kuhalisha (kuhala) sumu tumboni n.k..

Kama ningeandika faida zote 66 za maziwa ya mgando hapa uwenda wote tungechoka kusoma ila yapo makosa haya tunafanya kwenye maziwa hayo na hivyo kuwa hatari zaidi nayo ni tabia ya kuongeza sukari mbichi kwenye maziwa hayo ni makosa kwani hugeuka kuwa sumu badala ya tiba wala afya.
 
Asante kwa elimu nzuri mkuu!!

Ila shida yangu ni jinsi gani maziwa mgando yanatakiwa kupatikana.

Maana maeneo ya town ni hadimu sana.

Na vipi maziwa ya mtindi ya viwandani ambayo tayari yamewekewa preservatives???
Watu wengi hunywa maziwa fresh kwa imani kuwa wanaimalisha mifupa na kupata madini kadha wa kadha, sio Tanzania tu njoo hapa America mtindo ni ule ule kila kifungua kinywa chaenda na maziwa.

Kitu kimoja ambacho walio wengi hamukuelimishwa maishani ni juu ya maziwa ya MTINDI (maziwa mgando) kuwa ndio maziwa salama na yenye afya zaidi ya maziwa fresh , ni pale tu kama utajua kuwa maziwa fresh katika usagikaji wake tumboni huchukua mdaa mrefu zaidi ya masaa 53 (hamsini na tatu).

Pili faida za maziwa ya fresh ni chache sana , Narudia kwa maandishi makubwa kuwa FAIDA ZA MAZIWA FRESH NI CHACHE ukilinganisha na faida zipatikanazo kwenye maziwa MTINDI

Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa ya MTINDI :-
Na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaha zaidi.

1-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia mfumo wa chakula kwa mtoto mdogo kuwa sawa.

2- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia katika usagaji wa chakula tumboni.

3-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kushambulia vijidudu vinavyo jificha tumboni visababishao magonjwa ya tumbo.

4-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kupunguza madhara ya bacteria wa vidonda vya tumbo.

5-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuleta nafuu ya maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo.

6-Unaweza kujipaka maziwa ya mgando kwenye ngozi hasa kama unashida ya ngozi mfano wa mapunye, miwasho, fungus n.k..

7-Kwa mwanamke mwenye kuhisi miwasho , uchafu , fungus kwenye uke wake anaweza jioshea maziwa ya mtindi kuondoa na kutibu kabisa hali yoyote kama hizo.

8-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuzuia bacteria wasababishao uvimbe(Saratani) hasa maeneo makuu tumboni, mifupa, ngozi, tumboni n.k..

9-Hufungua choo kwa mtoto mdogo mwenye shida ya choo kwa kipindi kirefu.

10-Hufungua mfumo wa chakula hasa kwa mtu ambaye ameshinda bila kula kwa siku nzima.

Bonus : Tiba ya tumbo linalouma , kichefu chefu, kuhalisha (kuhala) sumu tumboni n.k..

Kama ningeandika faida zote 66 za maziwa ya mgando hapa wenda wote tungechoka kusoma ila yapo makosa haya tunafanya kwenye maziwa hayo na hivyo kuwa hatari zaidi nayo ni tabia ya kuongeza sukari mbichi kwenye maziwa hayo ni makosa kwani hungeuka kuwa sumu badala ya tiba wala afya.
 
Ukianzisha mada hasa inayohitaji tafiti na maelezo ya kitaalamu kuwa tayari kukosolewa au kujibu hija kinzani. Ndiyo kujifunza huko.

Si busara kumwita MTU mpuuzi kisa tu haafikiani na hoja zako.
Kumbuka katika tittle umeandika kuwa #Unaomba Ufafanuzi.(It means you have limited knowledge.
Yapo mambo ya jujiuliza.
Umetaja bacteria mara kadhaa bila kuainisha ni aina moja ya bacteria au ni aina tofauti wanaofanya faida za maziwa mgando/mtndi kuwa nyingi?

Pia kwa namba 7 si salama sana kwa akina mama. Hii no kutokana na ukweli kuwa bacteria wanaitumika katika tiba/kinga wanahitaji kudhibitiwa kuanzia idadi yao na nguvu(virulence) ili kuepusha madhara mengine.
 
Mie nipo nnje ya mada kidogo.
Namba msaada anaefahamu dawa ya kumaliza tatizo la vidonda vya tumbo. Vinanisumbua mno hadi kupelekea hadi mgongo pia kuuma na kuwa kama mtu anachoma sindano hiv.
 
Epuka vyakula vyenye asidi nyingi
 
Watu wengi hunywa maziwa fresh kwa imani kuwa wanaimalisha mifupa na kupata madini kadha wa kadha, sio Tanzania tu njoo hapa America mtindo ni ule ule kila kifungua kinywa chaenda na maziwa.

Kitu kimoja ambacho walio wengi hamukuelimishwa maishani ni juu ya maziwa ya mtindi(maziwa mgando) kuwa ndio maziwa salama na yenye afya zaidi ya maziwa fresh , ni pale tu kama utajua kuwa maziwa fresh katika usagikaji wake tumboni huchukua mdaa mrefu zaidi ya masaa 53 (hamsini na tatu).
Umeuliza swali na kujijibu mwenyewe
 
Vyakula gani vyenye acid na matunda gani pia yana acid? Maana acid inanisumbua hadi mgongo unaniuma.
 
Back
Top Bottom