Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau nimemsikia Waziri akitangaza kuhusu KODI ya Jengo kuwa Kila NYUMBA yenye UMEME Kodi hiyo italipwa Kwa kukataa kwenye LUKU. Naomba kujua Machache.
1. Kodi ya Jengo ni Kiasi gani?
2. Je, Kiwanja kama ni kimoja kina Nyumba 3 na kila Nyumba ina LUKU Je Nyumba zote 3 zinalipa KODI?
3. Nakumbuka Serikali iliwahi kusema Kodi ya Jengo inalipwa sh 10,000/= kwa Kiwanja hata kama Kiwanja kina Nyumba 3 kwa sababu zote ziko kwenye Kiwanja kimoja je Utaratibu huu utaendelea?