Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Aende Hospitali Akapime Choo Kikubwa!
Nenda hospital. Ni hatari kutmia dawa bila kujua unasumbuliwa na niniHabari zenu wanajamii naomba ufafanuzi juu ya tumbo langu inafika siku linanguruma sana hlf nikienda haja napata choo kilain kiufupi huwa naharisha mwisho choo kinakuwa kama makamasi ila hii hali inakuja na kukata kwa vipindi tofauti hii inakuwa inasababishwa na kitu gani?
Sawa mkuu nitafanya ivoNenda hospital. Ni hatari kutmia dawa bila kujua unasumbuliwa na nini
Shukrani mkuu kesho nitaamkia hosptalAende Hospitali Akapime Choo Kikubwa!
Ni moja ya Dalili za Magonjwa yanayotokana na Vimelea vya Bacteria Kama vile Giardia lamblia au Entamoeba histolytica
SAwa mkuuNa uwe unanawa mikono kabla ya kula
Hapana sinywiUnakunywa pombe?
Mchango vizuri ila kwenye onions/ vitunguu hapo sioni kuwa ni tatizo maana ni tiba pia.Punguza vyakula hivi:
Beans, onions, cabbage, broccoli, dairy, carbonated drinks, and fatty or sugary foods
Kama unakumywa sna soda huleta mtinduano huo pia
Maumivu yakizidi mwone dactarHabari zenu wanajamii naomba ufafanuzi juu ya tumbo langu inafika siku linanguruma sana hlf nikienda haja napata choo kilain kiufupi huwa naharisha mwisho choo kinakuwa kama makamasi ila hii hali inakuja na kukata kwa vipindi tofauti hii inakuwa inasababishwa na kitu gani?