Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa gari aina ya Suzuki Escudo

Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa gari aina ya Suzuki Escudo

Kiangazikikavu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
117
Reaction score
99
Naomba mwenye uzoefu anijuze juu ya gari Suzuki Escudo Engine CC 2390, hizi new model (third generation) ulaji wa mafuta (fuel consumption - ltr/km). Pia kama engine ni VVT-i na mengine juu ya parts nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi, ulaji wa mafuta sio ishu kwangu maana foleni za Dar wese linaenda na umesimama.
 
Haya ni maelezo nafupi sana kujua ulaji wa mafuta.

1. Plugs. Inashauriwa zibadilishwe kila vaada ya 20,000km. Je unafanya huvyo?

2. Service ikiwa ni pamoja na kubadilisha "air cleaner"

3. Ubora wa mafuta unayoweka kwenye gari lako. Unashauriwa utumie unleaded.

4. Uendeshaji wa dereva na mwendo anaotembea...rpm anayitembelea.

Haya na mengine mengi yanaathiri sana ulaji wa mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mwenye uzoefu anijuze juu ya gari Suzuki Escudo Engine CC 2390, hizi new model (third generation) ulaji wa mafuta (fuel consumption - ltr/km). Pia kama engine ni VVT-i na mengine juu ya parts nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ninayo Suzuki Grand Vitara CC 2000. Il naona inakula sana. Nadhani ni 6km per liter. Nilishaleta uzi huku lkn sikupata majibu mazuri sana.
 
Back
Top Bottom