Kiangazikikavu
Senior Member
- Nov 20, 2018
- 117
- 99
Kama hujui chochote juu ya gari sio lazima uchangie huu uzi mkuu, namiliki magari na sio gari zaidi ya miaka 16 iliyopita.Ukiona unataka kumiliki gari hlf unaanza kuulizia ulaji wa wese ujue wewe magari hayakufai tafuta boda au bajaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ninayo Suzuki Grand Vitara CC 2000. Il naona inakula sana. Nadhani ni 6km per liter. Nilishaleta uzi huku lkn sikupata majibu mazuri sana.Naomba mwenye uzoefu anijuze juu ya gari Suzuki Escudo Engine CC 2390, hizi new model (third generation) ulaji wa mafuta (fuel consumption - ltr/km). Pia kama engine ni VVT-i na mengine juu ya parts nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ninayo Suzuki Grand Vitara CC 2000. Il naona inakula sana. Nadhani ni 6km per liter. Nilishaleta uzi huku lkn sikupata majibu mazuri sana.
Mkuu unajua fundi mtaalamu wa hizi Gari?Fuel pressure sensor ndio tatizo kubwa kwenye hizi gari ikifa inakula sana mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
Hapana
Mie ninayo cc 2390 Mannual inatumia 10-12 km/Lt. speed huwa sijawahi vuka 100km/hr.Mkuu mimi ninayo Suzuki Grand Vitara CC 2000. Il naona inakula sana. Nadhani ni 6km per liter. Nilishaleta uzi huku lkn sikupata majibu mazuri sana.
Fuel pressure sensor ndio tatizo kubwa kwenye hizi gari ikifa inakula sana mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inakula vizuri.. hvi hapa Dar Garage au fundi gani mzuri wa hizi gari?Mie ninayo cc 2390 Mannual inatumia 10-12 km/Lt. speed huwa sijawahi vuka 100km/hr.
Nipo mkoani bossHii inakula vizuri.. hvi hapa Dar Garage au fundi gani mzuri wa hizi gari?